Walawi 21:4 - Swahili Revised Union Version4 Asijitie unajisi, ijapokuwa ni mkubwa katika watu wake, hata akajinajisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijitie unajisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kamwe asijitie unajisi mwenyewe kutokana na wale watu ambao anahusiana nao kwa kuoana, na hivyo kujitia unajisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kamwe asijitie unajisi mwenyewe kutokana na wale watu ambao anahusiana nao kwa kuoana, na hivyo kujitia unajisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Asijitie unajisi, ijapokuwa ni mkubwa katika watu wake, hata akajinajisi. Tazama sura |