Walawi 21:3 - Swahili Revised Union Version3 na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo. Tazama sura |