Walawi 20:4 - Swahili Revised Union Version4 Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yoyote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kama wananchi wa mahali hapo hawatamwadhibu mtu huyo kwa kumuua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho yao wakati mtu huyo anapomtoa kafara mmoja wa watoto wake kwa Moleki, nao wakaacha kumuua, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ikiwa watu wa jumuiya watafumba macho wakati mtu huyo anapomtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, nao wakaacha kumuua, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Tena kama wenyeji wa nchi wakimfumbia macho mtu huyo kwa njia yoyote, hapo atoapo katika kizazi chake na kumpa Moleki, wasimwue; Tazama sura |