Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 2:8 - Swahili Revised Union Version

8 Nawe utamletea BWANA sadaka ya unga iliyofanywa ya vitu hivyo; nayo italetwa kwa kuhani, naye ndiye atakayeisongeza madhabahuni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Utaleta sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu; na kuhani ataipeleka kwenye madhabahu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Ilete hiyo sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivi kwa Mwenyezi Mungu; mkabidhi kuhani, ambaye ataipeleka madhabahuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ilete hiyo sadaka ya nafaka iliyotengenezwa kwa vitu hivi kwa bwana; mkabidhi kuhani ambaye ataipeleka madhabahuni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Nawe utamletea BWANA sadaka ya unga iliyofanywa ya vitu hivyo; nayo italetwa kwa kuhani, naye ndiye atakayeisongeza madhabahuni.

Tazama sura Nakili

Walawi 2:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

Jikazeni mkaomboleze, enyi makuhani; Pigeni yowe, enyi wahudumu wa madhabahu; Njooni mlale usiku kucha katika magunia, Enyi wahudumu wa Mungu wangu; Kwa kuwa sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimezuiwa katika nyumba ya Mungu wenu.

Tena matoleo yako kwamba ni sadaka ya unga ya chunguni, yataandaliwa kwa unga mwembamba pamoja na mafuta.

Kisha kuhani atatwaa humo huo ukumbusho wa sadaka ya unga, naye atauteketeza juu ya madhabahu; ni kafara ya kusongezwa kwa njia ya moto, ya harufu ya kupendeza kwa BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo