Walawi 19:26 - Swahili Revised Union Version26 Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 “Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 “Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 “Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi. Tazama sura |