Walawi 19:27 - Swahili Revised Union Version27 Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 “ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 “ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu. Tazama sura |