Walawi 18:12 - Swahili Revised Union Version12 Usifunue utupu wa dada ya baba yako; maana, yeye ni jamaa wa karibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Usifunue utupu wa dada ya baba yako; maana, yeye ni jamaa wa karibu. Tazama sura |