Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 18:11 - Swahili Revised Union Version

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni dada yako, usifunue utupu wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “ ‘Usikutane kimwili na binti ya mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni dada yako, usifunue utupu wake.

Tazama sura Nakili

Walawi 18:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinilazimishe; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.

Utupu wa binti ya mwanao wa kiume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ni utupu wako mwenyewe.

Usifunue utupu wa dada ya baba yako; maana, yeye ni jamaa wa karibu.

Utupu wa dada yako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe alizaliwa nyumbani mwenu au kwingine, utupu wa hao usifunue.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo