Walawi 17:16 - Swahili Revised Union Version16 Lakini iwapo hazifui, wala haogi mwili, ndipo atakapolipizwa uovu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini asipoyafua mavazi yake na kuoga, ni lazima mtu huyo awajibike kwa uovu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini asipoyafua mavazi yake na kuoga, ni lazima mtu huyo awajibike kwa uovu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini asipoyafua mavazi yake na kuoga, ni lazima mtu huyo awajibike kwa uovu wake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini kama hakufua nguo zake na kuoga, atakuwa na hatia kwa kosa hilo.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini kama hakufua nguo zake na kuoga, atakuwa na hatia kwa kosa hilo.’ ” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Lakini iwapo hazifui, wala haogi mwili, ndipo atakapolipizwa uovu wake. Tazama sura |