Walawi 13:52 - Swahili Revised Union Version52 Naye ataliteketeza vazi hilo, liwe ni la kufumwa au ni la kusokotwa, kama ni la sufu, au la kitani, au kitu chochote cha ngozi, ambacho kina hilo pigo ndani yake; kwa maana, ni ukoma unaona; vazi hilo litateketezwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Kuhani atalichoma moto vazi hilo kwani lina namna ya upele wa ukoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Kuhani atalichoma moto vazi hilo kwani lina namna ya upele wa ukoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Kuhani atalichoma moto vazi hilo kwani lina namna ya upele wa ukoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Ni lazima achome vazi hilo, liwe ni la sufu au kitani kilichofumwa au kusokotwa, au kitu chochote cha ngozi chenye maambukizo; kwa kuwa ni ukoma wa kuangamiza, vazi lote ni lazima lichomwe moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Ni lazima aichome hiyo nguo, ikiwa ni ya sufu ama kitani iliyofumwa ama kusokotwa, ama chombo chochote cha ngozi chenye maambukizo, kwa kuwa ni upele unaoangamiza; chombo chote ni lazima kichomwe moto. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI52 Naye ataliteketeza vazi hilo, liwe ni la kufumwa au ni la kusokotwa, kama ni la sufu, au la kitani, au kitu chochote cha ngozi, ambacho kina hilo pigo ndani yake; kwa maana, ni ukoma unaona; vazi hilo litateketezwa; Tazama sura |