Walawi 13:41 - Swahili Revised Union Version41 Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upara kwenye paji, ni safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi. Tazama sura |