Walawi 13:35 - Swahili Revised Union Version35 Lakini hicho kipwepwe kama kikienea katika ngozi yake baada ya kutakasika kwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Lakini ikiwa kidonda kitaenea katika ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Lakini ikiwa upele utaenea juu ya ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi, Tazama sura |