Walawi 13:14 - Swahili Revised Union Version14 Lakini popote kitakapoonekana kidonda kibichi kwake mtu huyo, atakuwa yu najisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini kukionekana mwilini mwa mtu huyo kidonda kibichi, basi, mtu huyo atakuwa najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. Tazama sura |