Walawi 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Na huyo mwanamke atakaa muda wa siku thelathini na tatu ili kutakata damu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kisha mama mtoto ataendelea kuwa najisi kwa muda wa siku thelathini na tatu. Wakati huo, kamwe asiguse chochote kilichowekwa wakfu wala kuingia mahali patakatifu mpaka siku za kutakasika kwake zitakapotimia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kisha mama mtoto ataendelea kuwa najisi kwa muda wa siku thelathini na tatu. Wakati huo, kamwe asiguse chochote kilichowekwa wakfu wala kuingia mahali patakatifu mpaka siku za kutakasika kwake zitakapotimia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kisha mama mtoto ataendelea kuwa najisi kwa muda wa siku thelathini na tatu. Wakati huo, kamwe asiguse chochote kilichowekwa wakfu wala kuingia mahali patakatifu mpaka siku za kutakasika kwake zitakapotimia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kisha ni lazima huyo mwanamke asubiri kwa siku thelathini na tatu, ndipo atakaswe kutoka damu kwake. Hataruhusiwa kugusa kitu chochote kilicho kitakatifu au kuingia mahali patakatifu, hadi siku za kutakaswa kwake zimetimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kisha ni lazima huyo mwanamke asubiri kwa siku thelathini na tatu, ndipo atakaswe kutoka damu kwake. Hataruhusiwa kugusa kitu chochote kilicho kitakatifu au kuingia mahali patakatifu, mpaka siku za kutakaswa kwake zimetimia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na huyo mwanamke atakaa muda wa siku thelathini na tatu ili kutakata damu yake. Tazama sura |