Walawi 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Samaki yeyote wa baharini au mtoni mwenye mapezi na magamba, mnaweza kumla. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao. Tazama sura |