Walawi 11:12 - Swahili Revised Union Version12 Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Chochote kinachoishi majini ambacho hakina mapezi na magamba ni najisi kwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu. Tazama sura |