Walawi 11:1 - Swahili Revised Union Version1 BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu akawaambia Musa na Haruni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana akawaambia Musa na Haruni, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Tazama sura |
Kwa ajili ya hayo mtapambanua kati ya mnyama aliye safi na mnyama aliye najisi, na kati ya ndege aliye safi na ndege aliye najisi; nanyi msizifanye nafsi zenu kuwa machukizo kwa njia ya mnyama, au kwa njia ya ndege, au kwa njia ya kitu chochote ambacho nchi imejaa nacho, nilichokitenga nanyi kuwa ni najisi.