Wafilipi 2:9 - Swahili Revised Union Version9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; Tazama sura |