Wafilipi 2:14 - Swahili Revised Union Version14 Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Fanyeni kila kitu bila kunungunika na bila ubishi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Fanyeni kila kitu bila kunung'unika na bila ubishi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Fanyeni mambo yote bila kunung’unika wala kushindana, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Fanyeni mambo yote bila kunung’unika wala kushindana, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano, Tazama sura |