Waefeso 4:7 - Swahili Revised Union Version7 Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo. Tazama sura |