Waefeso 3:12 - Swahili Revised Union Version12 Katika yeye tunao ujasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya kumwamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, kwa kuungana na Kristo na kwa imani kwake, sisi tunathubutu kumwendea Mungu kwa matumaini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ndani yake na kupitia kwa imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ndani yake na kwa njia ya imani katika yeye twaweza kumkaribia Mungu kwa uhuru na kwa ujasiri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Katika yeye tunao ujasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya kumwamini. Tazama sura |