Waefeso 1:2 - Swahili Revised Union Version2 Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi iwe nanyi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama sura |