Waefeso 1:1 - Swahili Revised Union Version1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu; kwa watakatifu walioko [Efeso] wanaomwamini Kristo Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa, kwa mapenzi ya Mungu. Kwa watakatifu walio Efeso, walio waaminifu katika Al-Masihi Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa, kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu: Kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Al-Masihi Isa: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu; kwa watakatifu walioko [Efeso] wanaomwamini Kristo Yesu. Tazama sura |