Waebrania 9:21 - Swahili Revised Union Version21 Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Vilevile Mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Na ile hema nayo na vyombo vyote vya ibada alivinyunyizia damu vivyo hivyo. Tazama sura |
Kisha utamchinja kondoo, na kuitwaa damu yake, na kuitia katika ncha ya sikio la Haruni la upande wa kulia, na katika ncha za masikio ya kulia ya wanawe, na katika vyanda vya gumba vya mikono yao ya kulia, na katika vidole vikuu vya miguu yao ya kulia, na kuinyunyiza hiyo damu katika madhabahu kuizunguka kandokando.