Waebrania 7:24 - Swahili Revised Union Version24 bali yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 bali yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Tazama sura |