Waebrania 3:4 - Swahili Revised Union Version4 Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu; ila yeye aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini Mungu ndiye mjenzi wa vitu vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini Mungu ndiye mjenzi wa vitu vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini Mungu ndiye mjenzi wa vitu vyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa kuwa kila nyumba hujengwa na mtu, lakini Mungu ni mjenzi wa kila kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa kuwa kila nyumba hujengwa na mtu fulani, lakini Mwenyezi Mungu ni mjenzi wa kila kitu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu; ila yeye aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu. Tazama sura |