Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Waebrania 2:12 - Swahili Revised Union Version

12 akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Yeye anasema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Yeye husema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa.

Tazama sura Nakili

Waebrania 2:12
6 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.

Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, Katikati ya kusanyiko nitakusifu.

Kwako zinatoka sifa zangu Katika kusanyiko kubwa. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao.

Sikusitiri haki yako moyoni mwangu; Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako. Sikuficha fadhili zako wala kweli yako Katika kusanyiko kubwa.

Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu waziwazi; sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi wote; wala mimi sikusema neno lolote kwa siri.

mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo