Waebrania 11:19 - Swahili Revised Union Version19 akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua hata kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu; na kwa namna fulani kweli Abrahamu alimpata tena mwanawe kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu; na kwa namna fulani kweli Abrahamu alimpata tena mwanawe kutoka kwa wafu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu; na kwa namna fulani kweli Abrahamu alimpata tena mwanawe kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ibrahimu alihesabu kuwa Mungu angeweza kumfufua Isaka kutoka kwa wafu. Na kusema kwa mfano, alimpata tena Isaka kutoka kwa wafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ibrahimu alihesabu kuwa Mungu angaliweza kumfufua Isaka kutoka kwa wafu. Na kwa kusema kwa mfano, alimpata tena Isaka kutoka kwa wafu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua hata kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano. Tazama sura |