Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waebrania 11:18 - Swahili Revised Union Version

18 naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 hata ingawa Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka,”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa,

Tazama sura Nakili




Waebrania 11:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.


Mungu akamwambia Abrahamu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.


Wala hawawi wote wana kwa kuwa wazawa wa Abrahamu, bali, Katika Isaka wazawa wako wataitwa;


Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo