Waebrania 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Tazama sura |
Yeye achinjaye ng'ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua njia zao wenyewe, na nafsi zao zafurahia machukizo yao.