Waebrania 10:3 - Swahili Revised Union Version3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. Tazama sura |