Waebrania 10:16 - Swahili Revised Union Version16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao, Na katika fikira zao nitaziandika; ndipo anenapo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Hili ndilo agano nitakalofanya nao, siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika akilini mwao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Hili ndilo agano nitakalofanya nao, siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika akilini mwao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Hili ndilo agano nitakalofanya nao, siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika akilini mwao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “Hili ndilo agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Mwenyezi Mungu. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika katika nia zao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “Hili ndilo Agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Mwenyezi Mungu. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika katika nia zao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao, Na katika fikira zao nitaziandika; ndipo anenapo, Tazama sura |