Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 8:9 - Swahili Revised Union Version

9 Naye akawaambia hao watu wa Penieli nao, akisema, Nitakapokuja tena kwa amani, nitaubomoa mnara huu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Gideoni akawaambia, “Nitakaporudi kwa amani nitaubomoa mnara huu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Hivyo akawaambia wanaume wa Penieli, “Nitakaporudi kwa ushindi, nitaubomoa mnara huu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Hivyo akawaambia watu wa Penieli, “Nitakaporudi baada ya kushinda, nitaubomoa mnara huu.”

Tazama sura Nakili




Waamuzi 8:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi hao kina Zebu na Salmuna walikuwa katika Karkori, na majeshi yao walikuwa pamoja nao, watu kama elfu kumi na tano hesabu yao, ni wote waliobaki wa hilo jeshi lote la hao wana wa mashariki; kwa sababu walianguka wapiganaji elfu mia moja na ishirini waliokuwa wakitumia upanga.


Kisha akaubomoa mnara wa Penieli, na kuwaua watu wa mji huo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo