Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 5:5 - Swahili Revised Union Version

5 Milima ikayeyuka mbele za uso wa BWANA, Naam hata Sinai ule mbele za uso wa BWANA, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Milima ilitikisika mbele yako Mwenyezi-Mungu, naam, mlima Sinai mbele yako Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Milima ilitetemeka mbele za Mwenyezi Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Milima ilitetemeka mbele za bwana, hata ule wa Sinai, mbele za bwana, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 5:5
14 Marejeleo ya Msalaba  

Aitazamaye nchi, ikatetemeka; Aigusaye milima, ikatoka moshi.


Milima iliruka kama kondoo dume, Vilima kama wana-kondoo.


Nchi ilitetemeka Naam, mbingu zilidondoka usoni pa Mungu; Hata Sinai usoni pa Mungu; Mungu wa Israeli.


Ee Mungu, ulinyesha mvua ya neema; Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.


Milima iliyeyuka kama nta mbele za BWANA, Mbele za Bwana wa dunia yote.


Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu BWANA alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuri, mlima wote ukatetemeka sana.


Watu wote wakaona umeme na ngurumo na sauti ya baragumu, na ule mlima kutoka moshi; na watu walipoona hayo wakatetemeka, wakasimama mbali.


Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.


Milima hutetema mbele zake, navyo vilima huyeyuka; nayo dunia huinuliwa mbele za uso wake, naam, dunia na wote wakaao ndani yake.


Milima ilikuona, ikaogopa; Gharika ya maji ikapita; Vilindi vikatoa sauti yake, Vikainua juu mikono yake.


Maana hamkufikia mlima uwezao kuguswa, uliowaka moto, wala wingu jeusi, na giza, na tufani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo