Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 5:3 - Swahili Revised Union Version

3 Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 “Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 “Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 “Sikilizeni, enyi wafalme! Tegeni sikio, enyi wakuu! Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 “Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia Mwenyezi Mungu, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 “Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia bwana, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi bwana, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 5:3
18 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, nitaleta gharika ya maji juu ya nchi, niharibu kila kitu chenye mwili na pumzi ya uhai, kisiwepo chini ya mbingu; kila kilichoko duniani kitakufa.


Tazama, nilithibitisha agano langu nanyi; tena na uzao wenu baada yenu;


Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.


Akasema, Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya BWANA Mungu wa majeshi; kwa kuwa wana wa Israeli wameyaacha maagano yako, na kuzivunja madhabahu zako, na kuwaua manabii wako kwa upanga; nami nimesalia, mimi peke yangu; nao wanitafuta roho yangu, waiondoe.


Akasema, Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya BWANA, Mungu wa majeshi; kwa kuwa wana wa Israeli wameyaacha maagano yako, na kuzivunja madhabahu zako, na kuwaua manabii wako kwa upanga; nami nimesalia, mimi peke yangu; nao wanitafuta roho yangu waiondoe.


Na mimi, naam mimi, mfalme Artashasta, nawapa amri watunza hazina wote, walio ng'ambo ya Mto, ya kwamba, kila neno ambalo Ezra, kuhani, mwandishi wa Torati ya Mungu wa mbinguni, atalitaka kwenu, na litendeke kwa bidii nyingi,


Nitazinena shuhuda zako mbele ya wafalme, Wala sitaona aibu.


Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.


Na sasa kichwa changu kitainuka Juu ya adui zangu wanaonizunguka. Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake; Nitaimba, naam, nitamhimidi BWANA.


Ndivyo nitakavyoliimbia jina lako daima, Ili niondoe nadhiri zangu kila siku.


Tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani; nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima, ili wapate kutengeneza vyote nilivyokuagiza;


ndipo nami nitawaendea kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.


Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitanena; Na nchi isikie maneno ya kinywa changu.


Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu.


Watawala walikoma katika Israeli, walikoma, Hadi mimi Debora nilipoinuka, Nilipoinuka mimi, mama katika Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo