Waamuzi 3:6 - Swahili Revised Union Version6 wakawaoa binti zao, na binti zao wenyewe wakawaoza wana wao waume, na kuitumikia miungu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wakaoa binti zao na kuoza binti zao kwa vijana wa mataifa hayo na kuiabudu miungu yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wakaoa binti za hao mataifa, na wakawatoa binti zao wenyewe waolewe na wana wa hao mataifa, na wakaitumikia miungu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wakawaoa binti zao, nao wakawatoa binti zao waolewe na wana wa hayo mataifa, na kuitumikia miungu yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 wakawaoa binti zao, na binti zao wenyewe wakawaoza wana wao wa kiume, na kuitumikia miungu yao. Tazama sura |