Waamuzi 21:2 - Swahili Revised Union Version2 Basi hao watu wakafika Betheli, wakaketi huko mbele ya Mungu hadi jioni, nao wakainua sauti zao na kulia sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, wakaenda mpaka Betheli wakakaa huko mbele ya Mungu hadi jioni. Wakapaza sauti na kulia kwa uchungu mwingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Watu wakaenda Betheli, wakaketi mbele za Mungu hadi jioni, wakapaza sauti zao wakilia kwa uchungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Watu wakaenda Betheli, wakaketi mbele za Mungu mpaka jioni, wakapaza sauti zao, wakalia sana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Basi hao watu wakafika Betheli, wakaketi huko mbele za Mungu hadi jioni, nao wakainua sauti zao na kulia sana. Tazama sura |