Waamuzi 2:10 - Swahili Revised Union Version10 Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua BWANA, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kisha watu wote wa kizazi chake walifariki, kikafuata kizazi kingine ambacho hakikumjua Mwenyezi-Mungu wala matendo aliyowatendea watu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kisha watu wote wa kizazi chake walifariki, kikafuata kizazi kingine ambacho hakikumjua Mwenyezi-Mungu wala matendo aliyowatendea watu wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kisha watu wote wa kizazi chake walifariki, kikafuata kizazi kingine ambacho hakikumjua Mwenyezi-Mungu wala matendo aliyowatendea watu wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Mwenyezi Mungu, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua BWANA, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli. Tazama sura |