Waamuzi 10:7 - Swahili Revised Union Version7 Hasira za BWANA ziliwaka juu ya Israeli, akawauza na kuwaua mikononi mwa Wafilisti, na mikononi mwa wana wa Amoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 hivyo hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi ya Waisraeli. Naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 hivyo hasira ya bwana ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni, Tazama sura |