Waamuzi 10:2 - Swahili Revised Union Version2 Huyo akawa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini na mitatu, akafa, akazikwa katika Shamiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na mitatu, kisha akafariki na kuzikwa huko Shamiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akawa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini na tatu. Ndipo akafa, naye akazikwa huko Shamiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akaamua Israeli kwa miaka ishirini na mitatu. Ndipo akafa, naye akazikwa huko Shamiri. Tazama sura |