Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 1:13 - Swahili Revised Union Version

13 Naye Othnieli, mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, aliutwaa; basi akamwoza mwanawe Aksa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Basi, Othnieli, mwana wa Kenazi na mdogo wake Kalebu, akauteka, naye Kalebu akamtoa bintiye Aksa aolewe na Othnieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Basi, Othnieli, mwana wa Kenazi na mdogo wake Kalebu, akauteka, naye Kalebu akamtoa bintiye Aksa aolewe na Othnieli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Basi, Othnieli, mwana wa Kenazi na mdogo wake Kalebu, akauteka, naye Kalebu akamtoa bintiye Aksa aolewe na Othnieli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Basi Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, akawashinda; kwa hiyo Kalebu akamtoa binti yake Aksa, akaolewa naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Basi Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa huyo Kalebu, akawashinda, kwa hiyo Kalebu akamtoa binti yake Aksa akaolewa naye.

Tazama sura Nakili




Waamuzi 1:13
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kalebu akasema, Yeyote atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, mimi nitampa Aksa binti yangu awe mkewe.


Naye Othnieli mwana wa Kenazi, nduguye Kalebu, aliutwaa; basi akampa Aksa binti yake awe mkewe.


Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe.


Kisha wana wa Israeli walipomlilia BWANA, BWANA akawainulia wana wa Israeli mwokozi, aliyewaokoa, yaani, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo