Waamuzi 1:12 - Swahili Revised Union Version12 Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayepigana dhidi ya Kiriath-Seferi na kuuteka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.” Tazama sura |