Ufunuo 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua kitabu hicho, wala kukitazama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nikalia sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nikalia sana sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua kitabu hicho, wala kukitazama. Tazama sura |