Ufunuo 5:10 - Swahili Revised Union Version10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi. Tazama sura |
Kisha nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, nao wakapewa mamlaka ya kutoa hukumu; nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia yule mnyama, wala sanamu yake, wala kuipokea ile chapa katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; nao wakawa hai, wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.