Ufunuo 19:8 - Swahili Revised Union Version8 Naye ameruhusiwa kuvikwa kitani nzuri, ing'aayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!” (Nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watakatifu). Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!” (Nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watakatifu). Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!” (Nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watakatifu). Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Akapewa kitani safi, inayong’aa na nzuri, ili avae.” (Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Akapewa kitani safi, nyeupe inayong’aa, ili avae.” (Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Naye ameruhusiwa kuvikwa kitani nzuri, ing'aayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu. Tazama sura |