Tito 1:14 - Swahili Revised Union Version14 wasisikilize hadithi za Kiyahudi, wala maagizo ya watu waukataao ukweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 ili wasiendelee kuangalia hadithi za Kiyahudi au maagizo ya wale watu wanaoikataa kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 ili wasiendelee kuangalia hadithi za Kiyahudi au maagizo ya wale watu wanaoikataa kweli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 wasisikilize hadithi za Kiyahudi, wala maagizo ya watu waukataao ukweli. Tazama sura |