Sefania 1:8 - Swahili Revised Union Version8 Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Katika siku ya dhabihu ya Mwenyezi Mungu nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Katika siku ya dhabihu ya bwana nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni. Tazama sura |