Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ruthu 4:17 - Swahili Revised Union Version

17 Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi; yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wanawake majirani walimwita mtoto huyo Obedi wakisema, “Mtoto amezaliwa kwa Naomi.” Hatimaye Obedi akamzaa Yese aliyemzaa Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wanawake majirani walimwita mtoto huyo Obedi wakisema, “Mtoto amezaliwa kwa Naomi.” Hatimaye Obedi akamzaa Yese aliyemzaa Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wanawake majirani walimwita mtoto huyo Obedi wakisema, “Mtoto amezaliwa kwa Naomi.” Hatimaye Obedi akamzaa Yese aliyemzaa Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi; yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Tazama sura Nakili

Ruthu 4:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake.

Hivi ndivyo vizazi vya Peresi; Peresi alimzaa Hesroni;

na Obedi akamzaa Yese; na Yese akamzaa Daudi.

BWANA akamwambia Samweli, utamlilia Sauli hadi lini, kwa kuwa mimi nimemkataa asiwatawale Waisraeli? Ijaze pembe yako mafuta, uende, nami nitakutuma kwa Yese, Mbethlehemi; maana nimejipatia mfalme katika wanawe.

Basi Daudi alikuwa mwana wa yule Mwefrata, wa Bethlehemu ya Yuda, aliyeitwa jina lake Yese; naye huyo alikuwa na wana wanane; na yeye mwenyewe alikuwa mzee siku za Sauli, na mkongwe miongoni mwa watu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo