Ruthu 4:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake. Tazama sura |