Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ruthu 3:11 - Swahili Revised Union Version

11 Basi, mwanangu, usiogope; mimi nitakufanyia yote uyanenayo; kwa maana watu wote wa mjini wangu wanakujua ya kwamba u mwanamke mwema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Sasa binti yangu usifadhaike, nitakufanyia lolote utakaloomba kwa kuwa kila mtu mjini humu anajua wema wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Sasa binti yangu usifadhaike, nitakufanyia lolote utakaloomba kwa kuwa kila mtu mjini humu anajua wema wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Sasa binti yangu usifadhaike, nitakufanyia lolote utakaloomba kwa kuwa kila mtu mjini humu anajua wema wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Sasa, binti yangu, usiogope. Nitakufanyia yote uliyoomba. Kwa maana mji wote wa watu wangu wanakujua kwamba wewe ni mwanamke mwenye tabia nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Sasa, binti yangu, usiogope. Nitakufanyia yote uliyoomba. Kwa maana mji wote wa watu wangu wanakujua ya kwamba wewe ni mwanamke mwenye tabia nzuri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Basi, mwanangu, usiogope; mimi nitakufanyia yote uyanenayo; kwa maana watu wote wa mjini wangu wanakujua ya kwamba u mwanamke mwema.

Tazama sura Nakili

Ruthu 3:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akamtokea usiku uleule, akasema, Mimi ni Mungu wa Abrahamu baba yako, usiogope, maana mimi ni pamoja nawe, nami nitakubariki, na kuzidisha uzao wako kwa ajili ya Abrahamu mtumishi wangu.

Mwanamke mwema ni taji la mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.

Tena ni kweli kuwa mimi ni jamaa yako aliye karibu; lakini kuna mtu wa jamaa aliye karibu kuliko mimi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo